Karibu vituo vyote vya mabasi madogo ya abiria (maarufu kama daladala) katika Manispaa ya Morogoro, ni kawaida kukutana na wafanyabiashara wadogo (wamachinga) wakitembeza bidhaa zao mikononi.
Huwafuata wateja huku na huko, wakitangaza bidhaa kwa sauti za kuvutia ili kuwashawishi wanunuzi kabla...