Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kwamba Urusi haitakubali kurejesha ardhi iliyokwisha itwaa kutoka Ukraine katika mazungumzo ya kutafuta amani yanayotarajiwa kufanyika leo katika jimbo la Alaska nchini Marekani baina ya Rais Donald Trump na Rais Vladmir Putin.
Akizungumza...
Raisi WA Marekani Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari akiwa live ofisini kwake (oval office) amesema kwamba:-
"mapigano urusi na Ukraine kukoma hivi karibuni, mazungumzo juu ya kugawana Ardhi yanaendelea"
Chanzo: rt, spectator index, Kyiv post
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi.
Zelensky amesema baada ya uvamizi wa Urusi kuanza, Ukraine ilifanikiwa kukomboa tena zaidi ya 50% ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.