Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake.
Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu...
Siku moja tu tangu vita vya kibiashara kwa dunia nzima vianze rasmi raisi Donald Trump ameinua mikono na kutoa matamshi ya kurudi nyuma na kufedheheka.
Vita hivyo vimesambaraka mapema kwa vile vimehusisha maslahi ya mataifa mengi ambayo yamekereka kwa kulazimishwa kuingia uwanjani huku machache...
Nimejaribu kujiunga na mtandao binafsi wa Trump wa Truth Social na sijafanikiwa.
Nilitaka nimuulize baadhi ya maswali anijibu na akishindwa nimpe elimu kidogo.
Swali langu ni hilo hapo juu.
Nilichotaka kumwambia Trump ana kwa ana ni kuwa anapigana na vita ambavyo atashindwa mchana kweupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.