visirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Visirani Vinaponza Wake Zetu: Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwasababu Washauri Wakubwa Wa Wake Zetu ni Wanawake Walioachika

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa, au kuiacha? Nikiwa mtaa mmoja hapa jijini Dar es Salaam, ubuyu ukamwagwa. Ubuyu si wa kawaida. Ni...
  2. Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  3. Umewahi kukutana na Waajiri visirani?

    Habari wana JF! Katika safari ya kuajiriwa, nani amekutana na kasumba ya mabosi visirani "Toxic" pindi wanapotaka kuacha kazi. Share your experiences.
  4. Wanawake wana visirani sana ila huyu wa leo kazidi

    Tupo tunasafiri, kuna mdada mmoja mzuri, body si haba na kavaa smart kabisaaa, Wakati yupo chini konda akamuomba jina ili amuandikie tiketi. Ninukuu baadhi ya majibizano, sio yote kisa ni kirefuu. Akajibu "Niache nitulie andika hao wengine" Akaachwa, tupo ndani konda akamfuata akamuambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…