Wakuu,
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Afisa Utafiti wa LHRC, Fundikila Wazambi wakati anawasilisha ripoti ya mwaka amesema kati ya mwaka 2021 hadi 2025, kituo hicho kimekusanya na kuthibitisha jumla ya visa 197 vya utekaji na upoteaji wa watu, idadi ambayo imeelezwa kuwa kubwa na...