Mimi sio msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya michezo lakini nikikuta Wastara Msese wa EATV akiwa ana host kipindi lazima nisikilize hadi mwisho.
Wastara ana charisma kwenye angle hiyo na ninamuweka namba moja kwenye watangazaji wote wa vipindi vya michezo hapa bongo. anashika namba moja...