viongozi wa bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Msafara wa Viongozi wa BAVICHA Wazuiwa na Polisi Kilimanjaro

    TAARIFA KWA UMMA Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi visivyo halali. Magari ya polisi yamezuia msafara huo takribani mita 100 kutoka barabara ya Kibosho...
  2. Mindyou

    Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!

    Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa zaidi ya siku 40, amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, akiomba msaada wa kumrudisha mume wake nyumbani. Akizungumza kwa uchungu, mwanamke huyo alisema kuwa amebaki katika hali ngumu akiwa na mtoto mdogo anayehitaji malezi na matunzo ya baba yake. Ombi...
Back
Top Bottom