vifo vya ajali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanga: Basi kampuni ya Mvungi limepata ajali eneo la Msangeni. Watu 7 wafariki dunia

    Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga! -- Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  4. JamiiForums Tanzania Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  5. JamiiForums Tanzania PICHA: Nepal yaomboleza baada ya ajali mbaya ya Ndege kuua watu 66

    Nepal imeanza maombolezo leo Jumatatu, Januari 16, 2023 siku moja baada ya Ndege kuanguka ilipokuwa ikijaribu kutua katika uwanja mpya, na kuua takriban watu 66 kati ya 72 waliokuwa ndani. Wafanyakazi wa uokoaji walilazimika kushuka katika korongo la mita 300 kwa ajili msako wa kuwatafuta watu...
  6. JamiiForums Tanzania Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

    Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki. Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha. Swahili Times
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…