vibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

    Kiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe. Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…