Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI.
Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...