December 15 2025, Serikali kupitia tovuti ya makao makuu Veta ilitoa orodha ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2026. Orodha ilibainisha jina la chuo alichochaguliwa kijana na muda wa kipindi (Asubuhi/Jioni), pia orodha ilionyesha kama ni Mwanafunzi wa bweni...