Katika karne hii ya 21, vita vya kiuchumi havipigwi tena kwa silaha wala bunduki, bali kwa mitaji, hisa, na ushawishi wa kifedha. Katika anga hiyo, kuna mapacha mawili waliojitokeza kwa nguvu ya ajabu: Vanguard Group na BlackRock Inc.
Haya si makampuni ya kawaida – ni taasisi za usimamizi wa...