Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.
Ni picha iliyojaa nyuso za...
https://www.youtube.com/watch?v=C_twIGs3KIM
Rais Samia mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 pamoja na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66. Daraja hilo tayari lipo tayari kwa matumizi, likiwa ni miongoni mwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza...
Wakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii?
Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.