Wakuu!
Naona kumeanza kuchangamka...
Umoja wa Wanawake (UWT) Kata ya Busanda, GEITA waandamana hadi ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakilalamikia mchakato wa mchujo wa awali wakupitisha majina ya wagombea katika ngazi ya Udiwani kwenye Chama hicho.
Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia ikiwemo Photocopy Machine pamoja na Kompyuta.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa shule ya Sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.