GTs,
1️⃣ Matukio ya tarehe 29–30 Oktoba yameacha jeraha kubwa nchini. Watanzania wanataka ukweli, uwazi, na uwajibikaji. Hakuna taasisi, cheo, au mtu yeyote aliye juu ya uchunguzi.
2️⃣ Kauli ya Rais kuhusu kuunda tume ya kuchunguza matukio haya ni hatua ya muhimu. Lakini hatua hiyo inahitaji...