uvccm tanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omary: Ukidhani CCM ubunge niwa kununuliwa umechelewa

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Pamoja na mambo mengine baraza liliazimia kwa kauli moja...
  2. PAYE

    GE2025 UVCCM Tanga yawataka Vijana kujitokeza kuchukua Fomu za Kugombea Ubunge na Udiwani kuanzia Juni 28

    Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika na za Udiwani na ubunge, ambapo fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia June 28 hadi July 2, 2025 katika...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Tanga: CHADEMA amueni kushiriki Uchaguzi au la, si kuchochea vurugu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia. Mwenyekiti wa vijana amewasihi...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 DC Muheza akabidhi Pikipiki 10 kwa UVCCM Tanga, ahamasisha Ushindi wa CCM

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan lakini pia zitumike kuhamasisha zoezi...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi wa CCM watakaowasaidia kuleta maendeleo. Naye, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga

    SHAMIRA AKABIDHI SIMU 9 NA KADI 1000 ZA UVCCM TANGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara Shamira Mshangama amekabidhi Simu Tisa, pamoja na kadi za Uanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) 1000, Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
Back
Top Bottom