Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu.
Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18...
Naam habari za wakati !
Tambiko ni ibada maalumu ya jadi inayofanyika ili kuomba jambo fulani toka kwa nguvu zisizoonekanika kwa macho ya kibinadamu, watu wengi hupendelea kuita nguvu hizi mizimu. Inasemwa kuwa, wakati mwingine matambiko hufanyika ili kuituliza mizimu hiyo inapokuwa...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
Wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.