uvccm dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma: Kundi lililotaka kuupora Urais wa Samia baada ya Kifo cha Rais Magufuli wamefahamika, hatutanyamaza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi, tamaduni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kueneza na kuhamasisha usaliti ndani ya chama...
  2. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma ajitosa kuwania ubunge Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito huo umetolewa leo...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma aonya Viongozi wa Dini Kuhusu Siasa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
  5. mwanamwana

    PreGE2025 UVCCM Dodoma: Vyama vya upinzani havina uchumi wa kuhudumia wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika dola kutokana na kutokuwa na misingi imara ya kiuchumi ya kuwahudumia wananchi. Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM kwa kuwa ndicho chama chenye dira ya kweli ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCMM Dodoma: Uchaguzi Mkuu usipofanyika serikali iliyopo madarakani haitotambulika

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema endapo Uchaguzi Mkuu hautafanyika kama ilivyopangwa, serikali iliyopo madarakani inaweza kukosa kutambuliwa kitaifa na kimataifa. Mwanyemba ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano Maalum wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Wana CCM msiogope kuitwa chawa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi). Kupata...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma awahimiza Vijana kujitokeza kugombea na kupiga Kura

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
  10. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: CHADEMA wanakaa vikao vya siri. Tuwe makini nao, hawa watu sio salama kwa nchi yetu!

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewataka Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma kuwaogopa Viongozi wanatokana na vyama vya upinzani akiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kwa kuwa watu hao siyo salama na wasioitakia mema nchi ya Tanzania. Kauli hiyo...
Back
Top Bottom