Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,
Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri...
Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani.
Ivi Sasa ninavyo zungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.