utumwa wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    Huu ni utumwa wa hali ya juu

    Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60 Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
Back
Top Bottom