uteuzi na utenguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

    TAARIFA KWA VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Dkt. Ashura Abdul Katunzi...
  2. L

    Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

    Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma. Ameyasema...
  3. Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
  4. J

    Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!

    Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo. Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
  5. M

    Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?

    Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake. Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya...
  6. Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  7. Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

    Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting? Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi. DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi...
  8. Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

    Yupo Hoyce Temu, Mtangazaji na mjasiriamali. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  9. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…