utajiri wa mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma mna kauli gani kuhusu tuhuma za Utajiri wa Mwigulu Nchemba?

    MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa akituhumiwa na wananchi kuwa na ukwasi uliopitiliza huku wapi alikozitoa mali hizo ikibaki kuwa utata...
  2. Stuxnet

    Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

    Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther. Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga. Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu...
Back
Top Bottom