ushuru wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
  2. M

    Mikopo ya ulipaji wa ushuru wa magari bandarini

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye ya kiwango Cha ushuru unaodaiwa bandarini wakati mada Naomba kutangaza Kwa wote wale ambao wameagiza magari Toka nje ya nchi kama Japan lakini wakawa hawana pesa ya kutosha kulipia ushuru basi sisu tunatoa mikopo kiwango Cha kukopa ni asilimia...
  3. Ushuru wa magari chakavu upunguzwe, kutunza mazingira

    Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi. Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza kuwa katika Bajeti ya Mwaka 2026/27, ushuru wa magari yaliyotumika (used cars) upandishwe, huku...
  4. P

    Ushuru wa magari na online TRA calculator

    Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
  5. Ushuru wa magari ya zaidi ya miaka kumi uongezwe hadi 40%

    Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya. Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa mfano, nchini Kenya, ushuru wa magari yaliyotumika unatozwa kwa kiwango cha 20% kwa magari yenye umri wa...
  6. Serikali kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 5% kwenye magari yenye uwezo wa injini kati ya 1,000CC-2,000CC

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano kwenye magari yenye uwezo wa injini (Engine Capacity) wa kati ya 1,000 CC hadi 2,000CC. “Ushuru huo utatozwa ili kuwianisha na magari mengine yenye ukubwa unaofanana...
  7. Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…