usdt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu. Ukiweka akiba ya Shilingi benki leo, kiuchumi unakutana na vitu viwili vinavyokula mtaji wako kimya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Anyone tried Helabet with USDT?

    I’m thinking of using USDT for betting on Helabet. Is it fast and reliable?
  3. JamiiForums Tanzania USDT ni Nini? Kwa Nini Inaaminika Kama Dola ya Kidijitali?

    Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?. Tuje kwenye Historia Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama Bitcoin au Ethereum walikumbwa na changamoto kubwa ya mabadiliko makubwa ya bei (volatility). Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…