urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini

    Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira... Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
  2. JamiiForums Tanzania Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky awaonya wanajeshi wa Urusi kujisalimisha

    Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita...
  4. JamiiForums Tanzania Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

    Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita... Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine. A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yabembeleza Armenia na Azerbaijan waache vita

    Urusi imetia adabu, leo hii wamekua wa kwanza kuhubiri amani, yawaomba Armenia na Azerbaijan waache kupigana. ===== "We hope that the agreement reached as a result of Russian mediation on a ceasefire from 9 a.m. (local time) on September 13 will be fully implemented," the Russian Foreign...
  6. JamiiForums Tanzania Wanachama wa kamati ya usalama Urusi wakiri "special operation" imeshindikana

    Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku wakitoroka mapambano. ============== A member of Russia's State Duma Security Committee has suggested...
  7. JamiiForums Tanzania Hii aibu mwisho wake lini, wanajeshi wa Urusi watoroka kwa baiskeli

    Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo.... Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
  8. JamiiForums Tanzania Drones za Iran zashindwa kusaidia Urusi, zaanza kupigwa chini na Ukraine

    Urusi ataomba msaada wapi kwingine maana msaada aliopewa na Iran umebuma.... U.S. intelligence publicly warned back in July that Tehran planned to send hundreds of the bomb-carrying drones to Russia to aid its war on Ukraine. While Iran initially denied it, the head of its paramilitary...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha angani cha Urusi kimeishiwa, wamebaki kutazama mapambano kwenye TV

    Ndege zimekua zinadunguliwa kila ikijichomoza moja, sasa hivi imekua hatari kupaa kwenye anga za Ukraine na imesababisha wana anga wa nchi hiyo kujitazamia kwenye TV kama mechi vile.... ==== Ukrainian troops are on the move—rolling along wide highways and across open fields as they...
  11. JamiiForums Tanzania Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

    Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza.... Hiki kifaa hatari cha kukanganya au kuzuia miale au signal jamming kimeachwa Ukraine wajichukulie tu.. Ukrainian...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

    Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda..... The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter...
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza kuisadia Urusi kwenye hivi vita ila sasa hivi hali imekua sio tena. Ramzan Kadyrov: ‘If today or...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

    Kuna namna Ukraine wameibuka kama ambao wamepagawa, fulu kujitoa mhanga aisei....mzuka hadi basi, hii imewashangaza Urusi mpaka wakapoteana, wakawa wanauawa kama nzige, imefikia hatua za kuagizwa wakimbie mapambano, wameacha silaha na kutoka nduki. Vijana wanakomboa ardhi yao, bendera yao...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni: Urusi sasa yapigwa lakini hawatoshindwa

    Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi tangu wiki hii kuanza huko mashariki ya Ukraine yamekombolewa na wanajeshi wa Ukraine...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi wakiri kupokea kichapo Kharkiv, huku wananchi wa Ukraine wakijitokeza kufanya usafi

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi....... ========================== CHUHUIV, Ukraine — After...
  18. JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi waanza kuhoji kuhusu ushindi walioahidiwa, wachoka kusubiri

    Wingu la taharuki limewakumba Warusi, waliahidiwa ushindi ila wanachokiona ni maiti za vijana wao zinaletwa nyumbani kuzikwa na kila wakiingia kwenye mitandao wanasoma jinsi wanajeshi wao wanapitia kibano, miji inakombolewa kimzaha..... ======================================= A Moscow...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kutumia helikopta kusaka wanajeshi wake waliotoroka mapambano

    Idadi kubwa ya wanajeshi wa Urusi wameona hamna tija ya kufia kwenye nchi ya watu, wameanza kutoroka huku wakifukuziwa na helkopta. ======= Russia has deployed helicopters and weapons in the occupied Ukrainian Kherson region in an effort to round up soldiers who had deserted their positions...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi ifanye jitihada za kuokoa hawa wanajeshi 10,000 hatutaki kuona mauaji ya kimbari

    Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi. ======== Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces have fought all the way to Kupyansk, a critical node in Russia’s supply lines in Kharkiv Oblast in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…