urusi na ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  2. Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Mpaka sasa Urusi imepoteza watu wengi sana katika vita yake na Ukraine, si ukiwazia tu wapiganaji waliokufa, bali pia wale waliojeruhiwa au kupotea — na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vinaelezea kiwango kikubwa cha uharibifu upande wake. Taarifa za Karibuni kuhusu Hasara za Urusi Ukadiriaji...
  3. Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul

    Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul huku Russia ikigugumia maumivu baada ya viwanda vyake vya ndege kushambuliwa na drones za Ukraine, inasemekana katika mashambulizi hayo Ukraine iliweza kuziangamiza Ndege-Vita za kutosha kutoka katika viwanja vya ndege hivyo...
  4. H

    Askari wa China wakamatwa mateka nchini Ukraine wakiwa sehemu ya wapiganaji wa Urusi

    Ukraine imefanikiwa kuwaua wapiganaji kutoka China wakiwa pamoja na askari wa Urusi nchini Ukraine. Askari wawili wachina walikamatwa mateka, na wapo kwenye gereza nchini Ukraine. China daima imekuwa ikisisitiza kuwa haiisaidii Urusi kupigana na Ukraine kwa namna yoyote ile, lakini habari za...
  5. Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
  6. Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  7. Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

    Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024. Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…