uranium

Uranium is a chemical element with symbol U and atomic number 92. It is a silvery-grey metal in the actinide series of the periodic table. A uranium atom has 92 protons and 92 electrons, of which 6 are valence electrons. Uranium radioactively decays by emitting an alpha particle. The half-life of this decay varies between 159,200 and 4.5 billion years for different isotopes, making them useful for dating the age of the Earth. The most common isotopes in natural uranium are uranium-238 (which has 146 neutrons and accounts for over 99% of uranium on Earth) and uranium-235 (which has 143 neutrons). Uranium has the highest atomic weight of the primordially occurring elements. Its density is about 70% higher than that of lead, and slightly lower than that of gold or tungsten. It occurs naturally in low concentrations of a few parts per million in soil, rock and water, and is commercially extracted from uranium-bearing minerals such as uraninite.Many contemporary uses of uranium exploit its unique nuclear properties. Uranium-235 is the only naturally occurring fissile isotope, which makes it widely used in nuclear power plants and nuclear weapons. However, because of the tiny concentrations found in nature, uranium needs to undergo enrichment so that enough uranium-235 is present. Uranium-238 is fissionable by fast neutrons, and is fertile, meaning it can be transmuted to fissile plutonium-239 in a nuclear reactor. Another fissile isotope, uranium-233, can be produced from natural thorium and is studied for future industrial use in nuclear technology. Uranium-238 has a small probability for spontaneous fission or even induced fission with fast neutrons; uranium-235, and to a lesser degree uranium-233, have a much higher fission cross-section for slow neutrons. In sufficient concentration, these isotopes maintain a sustained nuclear chain reaction. This generates the heat in nuclear power reactors, and produces the fissile material for nuclear weapons. Depleted uranium (238U) is used in kinetic energy penetrators and armor plating.The 1789 discovery of uranium in the mineral pitchblende is credited to Martin Heinrich Klaproth, who named the new element after the recently discovered planet Uranus. Eugène-Melchior Péligot was the first person to isolate the metal and its radioactive properties were discovered in 1896 by Henri Becquerel. Research by Otto Hahn, Lise Meitner, Enrico Fermi and others, such as J. Robert Oppenheimer starting in 1934 led to its use as a fuel in the nuclear power industry and in Little Boy, the first nuclear weapon used in war. An ensuing arms race during the Cold War between the United States and the Soviet Union produced tens of thousands of nuclear weapons that used uranium metal and uranium-derived plutonium-239. Dismantling of these weapons and related nuclear facilities is carried out within various nuclear disarmament programs and costs billions of dollars. Weapon-grade uranium obtained from nuclear weapons is diluted with uranium-238 and reused as fuel for nuclear reactors. The development and deployment of these nuclear reactors continue on a global base as they are powerful sources of CO2-free energy. Spent nuclear fuel forms radioactive waste, which mostly consists of uranium-238 and poses significant health threat and environmental impact.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Kumbe Marekani ilikuwa imefanya shambulio la siri la kuiba madini ya Uranium wakati wakidai kumuokoa Rubani wao

    Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country. . Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
  2. A

    Trump kuhusu Uranium ya Iran: "Sijali kwa sababu imezikwa chini ya ardhi na wakijaribu kuyahamisha tutawashambulia"

    Rais Trump ametamka wazi kwamba kwa sasa "hajali" kuhusu akiba ya madini ya Uraniam (HEU) yenye uzito wa kilo 440 inayomilikiwa na Iran. Sababu yake? Anasema madini hayo yamefukiwa chini sana ardhini kiasi kwamba Marekani inaweza kuyafuatilia kwa urahisi kupitia satelaiti zake. Akizungumza na...
  3. Kwa Uranium inayopatikana Tanzania: Nashauri tuanzishe mradi wa Magari yanayotumia NYUKLIA

    Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power. Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium. Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
  4. Mabeberu wanamezea mate Uranium yetu, wanatuonea wivu

    Tukisema tuna viongozi wa hovyo mnasema tunatumika na mabeberu haya kunyweni hilo tope Uranium zipo chini!!!
  5. Kama kila kitu kinatufia leo mnawaza uranium kuchimba na kuzalisha umeme mtatumaliza

    Tanzania maji yametushinda, umeme nao ni tatizo sugu, miradi mingi imekufa kifo cha mende. Hii uranium ambayo majigambo yenu mnasema mabeberu wanaonea wivu. Mtaweza kuendesha na tunavyo wafahamu hata mkiwapa wawekezaji hawata jali afya za watu sababu sio nchi yao. SGR tumeona mnasingizia mvua.
  6. Mwigulu anaongea kama mtendaji wa kata hii Uranium ndo ya kugombaniwa na Marekani

    By Malisa: Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao haimezewi mate. Sasa fanya kuswipe uone uranium inayomezewa mate na mabeberu Tanzania ni ya nafasi za...
  7. Top Countries by Uranium Reserves (approx., tonnes U).

    1. Australia – ~1,671,200 tU (28%) 2. Kazakhstan – ~813,900 tU (14%) 3. Canada – ~582,000 tU (10%) 4. Namibia – ~497,900 tU (8%) 5. Russia – ~476,600 tU (8%) 6. Niger – ~336,000 tU (6%) 7. South Africa – ~320,900 tU (5%) 8. China – ~270,500 tU (5%) 9. Brazil – ~167,800 tU (3%)...
  8. D

    Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  9. Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

    Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium . Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi...
  10. Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
  11. Kulingana na duru za Kijasusi za Israel, Iran Hawakuhamisha Uranium Iliyorutubishwa kwenye vinu vyake wakati wa mashambulizi ya Marekani

    Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
  12. Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  13. Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  14. Urusi yajitolea kuchukua madini ya uranium yaliyopo Iran ili vita viishe

    Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote vya nyuklia na kivichakaza..... Vladimir Putin is willing to store uranium from Iran’s nuclear...
  15. Uranium sio makaa ya mawe kwako mtawala

    Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita. Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni kuleta maafa kama mlivyo fanya Mwendo kasi,bandari na n.k Uranium itaki uccm wala wakina lucas...
  16. PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  17. Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

    Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza...
  18. Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?

    Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
  19. Iran yanunua tani 300 za Uranium kutoka Niger kuwapa makombora na Drone pia

    [https://images][https://images]Jerusalem Post [https://images] Middle East [https://images] Iran News Iran bought 300 tons uranium from Niger for illicit nuke weapon program - report The London-based independent news organization Iran International published a report in early June about...
  20. Madini ya Uranium yenye faida kubwa na hatari kubwa

    Uranium ni elementi ya kemikali yenye alama ya kikemia U na namba atomia 92 katika jedwali la elementi. Ni metali tekevu yenye rangi ya kijivu-nyeupe na ina uwezo wa kuwa na mionzi ya sumaku umeme. Uranium ni mojawapo ya elementi zinazopatikana kiasili duniani na iliumbwa wakati wa michakato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…