Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.
Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.
So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa .
Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
Wasalaam!!
1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki.
OktobaTUNATIKI
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.
Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM...
Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025!
Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja tu! Basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani, taratibu za chama...