uraibu na mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa na uraibu na mtandao

    Muda mwingi napenda kuwa online kama nipo free. Usiku nakesha mitandaoni, naamka nimechoka sana, huu uraibu unanitesa. Yaani nikikosa kuingia sina raha. Imekua zaidi ya ulevi sasa. Sijui nifanyeje nipunguze hii addiction wadau.
Back
Top Bottom