Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja.
Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja.
Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani wanasiasa za masengenyo.
Wapinzani wetu hawana elimu ya siasa ndo maana utaona mtu anapost Uzi...
Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele
Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,
shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea.
Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na kuzuia msiibiwe kura. Msisubiri hisani ya CCM eti wawape ushindi kwenye sahani. haiwezekani.
Wakeup men
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.