upigaji pesa za lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Mdogo wa Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Lissu

    Vicent Mughwai Lissu, mdogo wa Mhe. Tundu Lissu anatolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Mhe. Lissu. "Ni jambo la familia, naona Amani Golugwa anahusishwa kwamba alienda Arusha kuonana na Mzee Alute, nafikiri hili si sahii" Vicent Lissu Soma pia: CHADEMA: Taarifa za...
Back
Top Bottom