Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema anathamini kwa kiwango kikubwa uongozi wa Rais wa Samia Suluhu Hassan, akisema umekuwa chanzo cha hamasa na msukumo katika safari yake ya uongozi.
Ameeleza hayo leo Juni 20,2026 wakati akizungumza na wanahabari Ikulu Dar es Salaam, akiambatana na...