uongozi wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru. Rais anayetawala kwa misukosuko ni rais Samia

    Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa. Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi. Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafisadi.
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ni urithi wa uongozi wa Rais Samia utakaokumbukwa daima

    Leo, 22 Agosti 2026, Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi mradi huu wenye uwezo wa kuzalisha MW 2,115. Mitambo yote tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa MW 235, ilikuwa tayari imekamilishwa na kuunganishwa katika Gridi ya Taifa kufikia mwaka 2025. Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)...
  3. JamiiForums Tanzania Kiliba: Wanaharakati na wakosoaji tajeni pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa kutaja pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  5. JamiiForums Tanzania Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya Uongozi wa Rais Samia Hassan.. Mitano tena

    Poleni sana Askari wetu wa barabarani.. Tunaweza kuona magumu mnayopitia.. Hakika kwa upande wa kuhakikisha Sheria za Nchi zinafuatwa, Samia kaupiga mwingi.
  7. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haitusaidii Ndugai, Kinana, Mpango, Majaliwa na Polepole kujitoa uongozi sababu hawakubaliani na Rais Samia; wanachukua hatua gani kuinusuru nchi?

    Karibu kila mtu anajua kuna hali tete sana kuhusu uongozi wa Raisi Samia kukubalika na viongozi wengine ndani ya CCM. Na kwa sababu CCM ina utaratibu mbovu kwamba Rais ndie anakuwa Mwenyekiti wa Chama, viongozi wengine wanakuwa hawana sauti, hadi kufikia kujiondoa katika safu ya uongozi pale...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia

    Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…