uongozi bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A Question on Service Capacity at CRDB Vijana – Kariakoo

    CRDB Vijana Branch Kariakoo, really needs to rethink its customer experience operations. Kariakoo is one of the busiest commercial areas in Dar es Salaam, especially on Fridays when cash transactions peak. Yet customers often find themselves in very long queues for simple deposits or...
  2. Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  3. Huwa Kuna Uhusiano Mkubwa Kati ya MTU kua Mjinga( Uwezo kiduchu wa akili) na Uwezo wa Kiuongozi/Kiutendaji

    Watu wajinga kujijua ni wajinga wanajijua vizuri kabisa . Ndio aina ya Watu ambao Hutafuta nafasi za Uongozi/Utendaji Kwa Jasho na Damu, wenyewe Huwa wako Radhi Kuua, kufanya lolote baya ili mradi wapate wanachokitaka. Ndio aina ya Watu ambao, Wakishafanikiwa kuzipata hizo Nafasi za...
  4. Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi Bora

    Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi. Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
  5. Huu ndio uongozi Bora

    Kazi ilikuwa kazi kwelkwel, ukitaka kuongoza viongozi wa kitanzania sio kuwachekea, ni kuwaburuta kwelkwel maana Huwa hawajui wajibu wao kwa wananchi.
  6. Uongozi wa Kweli: Ni Cheo au ni Uwezo wa kusema ukweli hata kama unapoteza kila kitu?

    Tuambiane ukweli: Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji. Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala makofi ya hadhara. Unapimwa kwa kiasi gani uko tayari kusema ukweli hata kama utachukiwa, kutengwa au...
  7. Hakuna raha yoyote ya madaraka yanayotokana na wizi au uongo

    Sijaona sababu za msingi za kuuwa mtu kwasababu za kimadaraka, kwani sioni raha ya kuwa na madaraka kwa kupitia umwagaji damu tena sisi kwa sisi kila uchwao. Niseme hakuna raha yoyote ya madaraka yanayotokana na wizi au uongo au umwagaji damu labda mtu awe chizi au mwehu ndio anaweza kuona...
  8. Tangu Kikwete alipopata Urais, CCM wakafungua geti la viwango duni katika siasa

    Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK. Rais Kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake alipoishika wizara ya fedha juu ya Kigoma Malima aliyekuwa mtangulizi wake, na wakati huo alikuwa...
  9. PreGE2025 Tunamshukuru rais Samia Kwa uongozi Bora vijana tumetajirika na wananchi tunafuraha na wewe

    Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake 2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama...
  10. Kiongozi anaeteuliwa na Mungu ni yule anaeingia ikulu kwa kura halali ! Kiongozi anaeingia madarakani kwa kura za wizi huyo hakuteuliwa na Mungu !

    Ipo tofauti kati ya wateule wa mungu na wateule wa shetani ibilisi Lucifer mkuu wa Giza ! Wateule wa mungu huingia madarakani kwa kura halali hawakuibia haki ya mtu Wala hawakunyang'anya kura ya mtu !! Chama Cha siasa kilichopewa kibali na Mungu hakiibi Wala kuumiza raia ili kupata haki ya...
  11. P

    Uongozi bora ni utashi wa kiongozi aliyechaguliwa

    tulishakubaliana kuwa katiba ni kijitabu flani hivi, hivyo kisitusumbue sana. Uongozi bora ni utashi wa kiongozi aliyechaguliwa. Nadhani wote tunashuhudia yanayoendelea Marekani ambao ndiyo mama wa democrasia. Tanzania tunaye rais mwenye utashi na leadership skills zake ziko juu kabisa
  12. J

    Mradi wa maji wa Mwanga-Same-Korogwe, ushuhuda wa uongozi bora wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    "Kiongozi bora ni yule anayehakikisha watu wake wanapata huduma bora" .... John C. Maxwell Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi mwenye maono makubwa kwa Watanzania. Uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji wa...
  13. A

    PreGE2025 LGE2024 Viunzi Virefu Vya Kuruka Vinavyowakamisha Wanawake Kuwa Viongozi

    Na Ahmed Abdulla: Zanzibar: Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko kadhaa yaliyopatikana lakini bado wanawake wanaona kuna viunzi virefu vya kuwafikisha kwenye safari...
  14. K

    Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

    Maandiko yatuongoze Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji. Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia...
  15. T

    Kuongoza Taifa kuna hitaji akili zaidi kuliko hisia binafsi

    Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa. Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama...
  16. Siasa Safi na Uongozi Bora: Sera hizi bado zipo?

    Kati ya vitu ambavyo tutamkumbuka Mwalimu Nyerere ni ule u thinker wake. Mwalimu si tu alikuwa na maono ya kisiasa, lakini kiuongozi alikuwa kama mcheza chess. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kufikiria mbele madhara au manufaa ya kile alichokuwa ana panga au kukipigia debe kisiasa. Na ndio maana...
  17. N

    Vunja mifupa ngumu bado meno ipo, Makonda sasa umekwiva

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi ya maendeleo inayoendelea Arusha kwa Sasa. Ameongea kiume na kwa haiba ya uongozi na hakika ana...
  18. K

    Kiongozi bora anaguswa na hali duni na mateso ya walio wengi waliomuamini na kumpa ridhaa

    Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra. Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 katika mashindano ya Qur aan Dar es salaam Rais wetu...
  19. J

    Hapa Duniani kuna Kiongozi ambaye hazungukwi na ndugu na Marafiki katika Utawala wake?

    Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak 😃
  20. Kiongozi wa nchi msafi hawezi kamwe kuongoza nchi iliojaa viongozi wezi. Rejelea Sani Abacha wa Nigeria

    Kiongozi Msafi katika Taifa loloe lile kamwe na Daima haijawahi tokea akaongoza Taifa liliojaaa wapigaji wa mali za Umma. Kule Nigeria inaaminika Gen Sani Abacha kwenye utawala wake kulikuwa na upigani ambao haujawahi fikiwa hadi leo, Kila kiongozi alikuwa anakula kwa urefu wa Kamba yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…