Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...