Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini
Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi. Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13. Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa.
Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka...