unakatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  2. JamiiForums Tanzania Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba anasa hii ya umeme haiwafikii wananchi kwa wakati. Kila kukicha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…