Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM mikoa yote na wilaya Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi.
Kawaida ameyasema hayo leo tarehe 24 Machi 2025 mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo...
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.