umeme

  1. JamiiForums Tanzania UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira. Huu ni uhujumu, full stop! UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge). Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf. Je wewe uko upande upi na kwanini? ======= WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
  4. JamiiForums Tanzania Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017. Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  6. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…