umasikini afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Utofauti unatisha

    Ndugu zangu tazama hii picha Angalia na hii Ivi ni kwa namna gani watu wa Spain waliweza kujenga daraja zuri namna hii miaka ya 1793 .. yaan elfu moja mia saba hukoo.. na Wafrica kufungwa fikra zetu tokea miaka hiyo ya utumwa mpaka leo. Umasikini tulionao Africa ni mgumu sana kufahamu...
  2. JamiiForums Pamoja tunaweza kuwapatia tabasamu | furaha ya mtoto ipo kwenye mambo madogo sana ya kidunia

    Habari za wakati huu waungwana, natumaini Mungu anaendelea kutujaalia uzima mpaka siku hii ya leo. Natumaini humu jukwaani tupo watu wa imani mbalimbali, kwa ndugu zangu wakristo leo ni ijumaa kuu siku ambayo wanaomboleza kuteswa na kufa kwa Yesu Kristo. Hivyo basi siku ya jumapili...
  3. Y

    JamiiForums David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;- Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
  4. JamiiForums Ukifikiria vizuri kabisa na kwa utulivu utagundua sababu kuu ya umasikini Tanzania na Afrika ni ukosefu wa maadili na uzembe

    Ukosefu wa maadili na uzembe kwa watumishi wa umma na wananchi ni tatizo kubwa ambalo limechangia na linaendelea kuchangia umasikini nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tatizo hili lina mizizi yake katika malezi na mazingira ya kijamii ambayo watumishi hawa wanakulia. Mfano mmoja ni ufisadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…