ulokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Ulokole una faida nyingi sana, ila walokole wengi wanazikosa kwasababu ya mafundisho duni makanisani.

    Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi. Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
  2. JamiiForums Ukitoa wazungu, Ulokole ndio Ukiristo halisi wa Africa

    Hizi taasisi unazoziona zimesimama, kama vile Roma au Lutheran, ni utaratibu na misingi ya wazugu na haina uhusiano na ukiristo, hata ile chain of command mfano utoka papa hadi muumini wa kawaida pale kimara temboni, ni taratibu za kizungu ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja a ukiristo...
  3. JamiiForums Ulokole

    Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri Na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake. YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe Kwa kukukodolea macho tu, Nawewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7, Yaani unasumbua watoto kwenye lishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…