ukame

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kutokea baa la njaa nchini. Ni wakati sahihi Serikali na jamii kujiandaa

    Ni wakati ambao mabadiliko ya tabia ya nchi yamechukua nafasi katika ulimwengu huku tukiwa tunashuhudia ongezeko la joto na upungufu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini. Mazingira yanatuma taarifa kwa ulimwengu kama tunahitaji kuyategemea basi tunajukumu la kuyatunza na kuyalinda. Viongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  4. JamiiForums Tanzania UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM iwe makini na mabadiliko ya Tabia nchi, tishio la ukame na njaa siyo la kulipuuza kisiasa na kiuchumi

    Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA. Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri joto kali na ukame

    MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni. Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
  7. JamiiForums Tanzania Familia za Madagascar 'zinakula matope' kutokana na ukame mbaya

    Ukame unaolikumba eneo la Kusini mwa Madagascar ni mbaya kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 40 Shirika la mpango wa chakula duniani linaonya kuwa unaolikumba eneo la kusini mwa Madagascar kwa miongo minne unasababisha njaa na ukame mkubwa Mkurugenzi wake, David Beasley, ambaye ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…