ukabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
  2. Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena?

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena? Lazima Tanzania turejelee upya kauli na maonyo ya Baba wa Taifa ili Tanzania ipone Katika tabia ambazo Baba wa Taifa aliziita ni za kipumbavu...
  3. A

    Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  4. Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  5. H

    Tujiepushe na Udini, Ukanda, Ukabila na Itikadi Kali za Kisiasa* 🇹🇿

    Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja. Kwa nini tunapaswa kuviepuka: ✅ Udini unavunja...
  6. M

    Tukiingia serikali ya majimbo ukabila haukwepeki, Urais na vyeo vikubwa vitakuwa vya makabila haya makubwa

    Kama tutajiingiza katika mfumo wa serikali ya majimbo hapa Tanzania, ni muhimu kuzingatia athari za kisiasa na kijamii ambazo mfumo huu unaweza kuleta. Mfumo huu unaruhusu kila jimbo kuwa na udhibiti katika utawala na sheria zake, na mara nyingi hii inachochea mgawanyo wa nguvu katika nchi...
  7. M

    Kuna ukabila sana kwenye makampuni binafsi, ni hatua zipi za kuchukua kupunguza

    Kuna makampuni unaweza kudhani yalianzishwa kijijini yamefungua branch mjini, wafanyakazi zaidi ya 50 % ni wa kabila moja. na kupeana nafasi ni rahisi sana kwasababu hata protokali za ajira ni kampuni yenyewe inajisimamia
  8. N

    HR na Maboss punguzeni ukabila wakati wa usaili

    Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
  9. F

    Ipp acheni ukabila crew yenu mzima ni wachaga watupu

    Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani...
  10. GE2025 Butiama: Wanachama wa CCM walalamikia kuenguliwa kwa jina la Mgombea udiwani aliyeshinda kura za maoni

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
  11. M

    Wasukuma wakiamua kuleta ukabila, Basi mpina ni Rais , probality ya asilimia 85%

    Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors. Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
  12. N

    Kulazimika kuweka taarifa za kabila na dini kwenye nyaraka za serikali

    Kauli hii inaangazia hoja nyeti na muhimu sana kuhusu mwelekeo wa taifa katika kulinda umoja wa kitaifa na misingi ya katiba. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi haina dini rasmi, na inapinga ubaguzi wa aina yoyote, ikiwemo misingi ya udini au ukabila. Kwa hivyo...
  13. L

    Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo . Nyerere...
  14. W

    Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  15. Vikundi vya kuprotect utwala uwa vina undwa na yeye kama ni mkabila aina ya udini

    Leo nafatilia historia ya mtwala wa uganda ambayo kikosi chake kilikuwa kabira lake na alijaza watu wake. Ilipofikia kupinduliwa na jeshi la Tanzania walipofika kijijini kwao wote walikimbia na walikuta kuna mbwa mmoja tu katelekezwa.
  16. PreGE2025 Wasira: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulilenga kudumisha amani na kuondoa udini na ukabila

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya kudumu kati ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mbele ya mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chemba...
  17. Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

    Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti. Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
  18. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  19. Udini na ukabila wa urangi ni vitu ambavyo vinashindwa waafrika kujua kuwa sisi ni waafrika

    Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila. Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa na nyerere wanapatikana usalama.
  20. Kiongozi wa umma apimwe kwa Uwezo wake si kwa Jinsia, Ukabila, Dini, Uzanzibari au Ubara

    Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…