Nimesoma kitabu cha CRASH OF CIVILIZATION AND REMARKING OF NEW ORDER cha mwandishi nguli Samwel P. Huntington juu ya namna gani watu wamekuwa na ustaarabu mpya wa kujuana na kutambuana aidha hata kuhishimiana kutokana na dini zao kuliko hata tamaduni zao.
Mwandishi alianza kwa kunishtua mtima...