uhaba wa maji dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    Aweso: Mahitaji ya maji Dar ni lita milioni 572

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema mahitaji ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam ni lita milioni 572, hali inayochangiwa na ongezeko la watu. Waziri Aweso amesema hayo leo, Januari 28, 2026, jijini Dodoma wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari, akisisitiza kuwa si haki kwa wananchi...
  2. PAYE

    Waziri wa Maji: Bili za maji ziendane na upatikanaji wa maji, Wananchi hawakupata Maji ile kawaida

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwalipisha wananchi bili za maji kwa kuzingatia uhalisia wa upatikanaji wa huduma, hususan katika maeneo yanayokabiliwa na changamoto ya maji. Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo leo...
  3. M

    Wakazi wa Dar hali ya maji ikoje huko mtaani? RC Chalamila anadai maji yangekosekana makelele yangekuwa ni makubwa sana

    Kauli ya Chalamila kwenye wiki ya Maji '"Mwaka huu 2025 tunaamini ni mwaka wa uchaguzi, Watanzania wenyewe wataendelea kupima, kwa sababu Dar es Salaam ingelikosa maji makelele yangekuwa ni makubwa na ndani ya masaa mawili ungekuwa umeshapokea taarifa kwamba Dar es Salaam hakuna maji." Soma...
Back
Top Bottom