Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele
Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikifunga mchakato wa kuchunguza na kugawa majimbo Machi 26, 2025, kumekuwa na mjadala kuhusu vigenzo vya ugawaji wa majimbo, kuyaongeza na kubadilisha majina.
INEC imepewa mamlaka...
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kisheria badala ya kuongozwa na maslahi ya kisiasa.
Akitoa kauli yake kwa...
NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI
Hili la kugawa majimbo ni jambo la msingi sana kujadiliwa kwa mapana yake, na hoja
yangu katika mjadala huu itajikita kuunga mkono ugawaji wa majimbo kwa kuangazia
kiini cha mjadala wa kugawa majimbo ya uchaguzi kwa kuzingatia vigezo...
Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu...
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.
Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika viboreshwe au kuangaliwa upya kabla ya ugawaji wa majimbo utakaofanyika mwaka huu.
Kupata matukio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.