Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi.
Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kugawa
mkubwa
mkurugenzi
sana
ugavi
ununuzi
unyanyasaji
wake
watumishi
wizara
wizara ya afya
zake
▪️Awataka waliopewa dhamana ya usimamizi wazingatie misingi ya utawala bora
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameziagiza Mamlaka, Taasisi na Wadau wote waliopewa dhamana ya kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025 wabadilike na wahakikishe...
Habari wanajamii.
Natumaini wote wazima.
Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila kigugumizi.
Tumeshuhudia mara tu alipoingia madarakani aliwapandisha madaraja watumishi waliokuwa...