Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) na UDSM wameendelea kumenyana kuelekea uchaguzi Mkuu. Baada ya UDSM kutoka na tamko linalopinga tamko la UDASA, ambapo pamoja na mengine lilisema kuwa tamko la UDASA si msimamo wa UDSM na viongozi wake.
UDAWA nao wamekuja kujibu...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.