udp

The enzyme UDP-glucose 4-epimerase (EC 5.1.3.2), also known as UDP-galactose 4-epimerase or GALE, is a homodimeric epimerase found in bacterial, fungal, plant, and mammalian cells. This enzyme performs the final step in the Leloir pathway of galactose metabolism, catalyzing the reversible conversion of UDP-galactose to UDP-glucose. GALE tightly binds nicotinamide adenine dinucleotide (NAD+), a co-factor required for catalytic activity.
Additionally, human and some bacterial GALE isoforms reversibly catalyze the formation of UDP-N-acetylgalactosamine (UDP-GalNAc) from UDP-N-acetylglucosamine (UDP-GlcNAc) in the presence of NAD+, an initial step in glycoprotein or glycolipid synthesis.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Mgombe wa Urais UDP anasema anasubiri kuapishwa kuwa Rais, huyu naye anatakiwa akasalimiwe

    Mgombea wa Urais UDP anasema ameshamaliza kuoiga kura na anaamini kutokana na uhamasishaji waliofanya basi mapema kabisa anaingia Ikulu. Anatoka mwanamke Samuya, anakuja yeye Saumu. Haya yote yanaendelea wakati maandamano yanazidi kushika kasi na mtandao ukiwa umekatwa nchini Tanzania. Huyu na...
  2. GE2025 Mgombea urais kupitia UDP ampongeza rais Samia jukwaani

    "Lakini kabla sijamaliza nataka nimpongeze na naomba msichukie hili, Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuilinda amani ya nchi yetu, Lakini pia nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama, ndugu zangu hawa Jeshi na polisi hawalali, sisi tunakuwa tunalala lakini wao wanakuwa wako macho...
  3. GE2025 Mgombea urais UDP Saum Hussein: Tukiingia madarakani UDP tutajenga viwanda vikubwa kila mkoa

    Saum Hussein Rashid, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, basi serikali yake itaweka nguvu kwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata malighafi kila mkoa ili kujihimarisha na kujikwamua katika uchumi. Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni yao ilifanyika Kijiji cha Mahaha Mkoani Mwanza
  4. R

    GE2025 Mgombea Urais UDP: Lengo kubwa ya chama chetu ni kuwainua wananchi wanyonge kwa sera yetu ya kuwajaza watu Mapesa

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid, akiambatana na mgombea mwenza wake Juma Khamis Faki, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa jijini Dodoma. Baada ya...
  5. R

    GE2025 Mgombea Urais UDP afika INEC kuchukua fomu

    Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
  6. GE2025 Saumu Rashid apitishwa Rasmi Kupeperusha Bendera ya Urais kupitia UDP

    Saumu Rashid amepitishwa na mkutano mkuu kuwa mgombea wa urais baada ya kupigiwa kura za ndiyo na wajumbe 376 kati ya 390 katika mkutano wa chama hicho Saumu ambaye ni Katibu Mkuu wa UDP, ametangazwa leo Jumatatu Agosti 11,2025 na mkurugenzi wa uchaguzi wa chama hicho, Hussein Lutambi, katika...
  7. GE2025 Cheyo aongoza mkutano mkuu wa UDP mgombea urais, mwenza kujulikana leo

    Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo leo Jumatatu Agosti 11, 2025, amehudhuria mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Lulu, Sinza, jijini Dar es Salaam, licha ya changamoto za kiafya zinazomkabili kwa muda mrefu. Cheyo, maarufu Mzee Mapesa...
  8. Kwanini Mbowe asikimbilie hata CHAUMA au UDP kama wanachama hawamtaki

    Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza...
  9. UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  10. PreGE2025 Chama cha UDP kimemchagua John Cheyo kuwa Mwenyekiti kwa awamu nyingine

    Habari wakuu Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna...
  11. J

    Mzee Cheyo aelewe Chawa wa kisiasa siyo lazima awe Binadamu hata Taasisi kama Chama chake ni CHAWA wa CCM

    Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama chake Cha UDP Cheyo atoe kwanza boriti Kwenye jicho lake ndipo akione kibanzi Kwenye jicho la Lucas 😂🔥...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…