Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikiihusisha Kampuni ya DP World kudhamini Ligi Kuu ya Soka la Wanaume Nchini Tanzania.
Taarifa hizi zililipotiwa pia Juni 24, 2023 kwenye Jukwaa la JamiiForums ambapo baadhi ya madai ilikuwa ni uwepo wa mpango wa TFF kuachana na wadhamini wa sasa...